DODOSO LA MAONI KUHUSU HUDUMA
Tunathamini maoni yako kuhusu huduma ulizopokea. Maoni yako yatatusaidia kuboresha utoaji wa huduma.
🔒 Huhitaji kutaja jina, simu wala barua pepe
1. Idara gani ilikuhudumia?
*
---------
Utawala
Afya
Elimu
Biashara
Ardhi
Mipango Miji
Mapato
Maji
Kilimo
Mifugo
TEHAMA
Ujenzi
Nyingine
2. Kwa ujumla, umeridhishwa kwa kiwango gani na huduma uliyopokea?
*
1 - Sijaridhika kabisa
2 - Sijaridhika
3 - Wastani
4 - Nimeridhika
5 - Nimeridhika sana
3. Je, ulihudumiwa kwa wakati?
*
Ndiyo
Kwa kiasi
Hapana
4. Je, watumishi walikuhudumia kwa heshima na weledi?
*
Ndiyo
Kwa kiasi
Hapana
5. Ni jambo gani ulilolipenda kuhusu huduma uliyopokea?
(Hiari)
6. Una mapendekezo gani ya kuboresha huduma zetu?
(Hiari)
7. Maoni au malalamiko mengine (kama yapo)
(Hiari)
TUMA MAONI